[{"id":13262539,"name":"Wasikudanganye","trackName":"Wasikudanganye","artistName":"Nandy","albumName":"The African Princess","duration":228.0,"instrumental":false,"hasWordSync":false,"plainLyrics":"Wasikuambie kwamba mimi eti sina lolote\nLabda wakuambie sina ujanja juu yako\nWasikudanganye watakupa utakacho chochote\nWataitoa wapi furaha yako\nMaana wabaya hawatoki mbali\nJirani yako we ndio anapenda usile\nHawatokubali kuona bendera ya penzi lako inapepea\nHawatokujali kipindi ambacho mawazo\nYanafanya usile watakutupia mbali\n\nSi ulisema unataka gari na nimekubali kuenyeka mie\nTule mbegu na ugali kesho tutapata kipenzi nivumilie\nUkinitema itakuwa ni hatari utanipa na ajali kitanzi\nKuninginia si tumetoka mbali\nMazoea na ushakuwa maua\n\nMoyo moyo wangu mimi\nUnauendesha moyo moyo\nFunga macho na masikio Ziba moyo moyo\nUsiwasikie usiwaone pia moyo moyo\nUmegota kwako moyo wangu moyo moyo\nAuuu uuh moyo moyo Usiwaone pia\n\nKukosa majaribu moyo usije\nTia donda ukauchubua maumivu yani adhibu\nKisa upendo furaha kuichua\nKwenye kosa niadhibu nami mwanadamu\nSiku ntakosea kukuacha\nSijaribu wapi niende nami kwako nishajifia\nIla usifanye kama fimbo\nUfanane na tindo ukashindwa kujali maumivu yangu\n\nSi ulisema unataka gari na nimekubali kuenyeka mie\nTule mbegu na ugali kesho tutapata kipenzi nivumilie\nUkinitema itakuwa ni hatari utanipa na ajali kitanzi\nKuninginia si tumetoka mbali\nMazoea na ushakuwa maua\n\nMoyo moyo wangu mimi\nUnauendesha moyo moyo\nFunga macho na masikio Ziba moyo moyo\nUsiwasikie usiwaone pia moyo moyo\nUmegota kwako moyo wangu moyo moyo\nAuuu uuh moyo moyo Usiwaone pia\n\nOuuhh moyo moyoo huu moyo\nMoooooyo heyyyy huu moyooo oh moyooo wangu\nMimi ah moyo moyo funga macho moyo moyo uuh baby","syncedLyrics":"[00:01.33] Wasikuambie kwamba mimi eti sina lolote\n[00:11.98] Labda wakuambie sina ujanja juu yako\n[00:16.73] Wasikudanganye watakupa utakacho chochote\n[00:23.60] Wataitoa wapi furaha yako\n[00:25.12] Maana wabaya hawatoki mbali\n[00:29.53] Jirani yako we ndio anapenda usile\n[00:32.98] Hawatokubali kuona bendera ya penzi lako inapepea\n[00:37.28] Hawatokujali kipindi ambacho mawazo\n[00:40.05] Yanafanya usile watakutupia mbali\n[00:42.69] Si ulisema unataka gari na nimekubali kuenyeka mie\n[00:48.43] Tule mbegu na ugali kesho tutapata kipenzi nivumilie\n[00:54.17] Ukinitema itakuwa ni hatari utanipa na ajali kitanzi\n[00:57.76] Kuninginia si tumetoka mbali\n[01:01.85] Mazoea na ushakuwa maua\n[01:04.43] Moyo moyo wangu mimi\n[01:07.35] Unauendesha moyo moyo\n[01:11.04] Funga macho na masikio Ziba moyo moyo\n[01:14.30] Usiwasikie usiwaone pia moyo moyo\n[01:20.56] Umegota kwako moyo wangu moyo moyo\n[01:23.77] Auuu uuh moyo moyo Usiwaone pia\n[01:30.31] Kukosa majaribu moyo usije\n[01:39.78] Tia donda ukauchubua maumivu yani adhibu\n[01:41.15] Kisa upendo furaha kuichua\n[01:42.61] Kwenye kosa niadhibu nami mwanadamu\n[01:44.63] Siku ntakosea kukuacha\n[01:46.61] Sijaribu wapi niende nami kwako nishajifia\n[01:51.17] Ila usifanye kama fimbo\n[01:53.89] Ufanane na tindo ukashindwa kujali maumivu yangu\n[01:59.49] Si ulisema unataka gari na nimekubali kuenyeka mie\n[02:01.99] Tule mbegu na ugali kesho tutapata kipenzi nivumilie\n[02:08.72] Ukinitema itakuwa ni hatari utanipa na ajali kitanzi\n[02:15.23] Kuninginia si tumetoka mbali\n[02:19.18] Mazoea na ushakuwa maua\n[02:20.45] Moyo moyo wangu mimi\n[02:24.04] Unauendesha moyo moyo\n[02:25.10] Funga macho na masikio Ziba moyo moyo\n[02:29.69] Usiwasikie usiwaone pia moyo moyo\n[02:34.82] Umegota kwako moyo wangu moyo moyo\n[02:38.08] Auuu uuh moyo moyo Usiwaone pia\n[02:43.45] Ouuhh moyo moyoo huu moyo\n[02:46.02] Moooooyo heyyyy huu moyooo oh moyooo wangu\n[03:07.91] Mimi ah moyo moyo funga macho moyo moyo uuh baby\n[03:17.82] ","lyricsfile":"version: '1.0'\nmetadata:\n  title: Wasikudanganye\n  artist: Nandy\n  album: The African Princess\n  duration_ms: 228000\n  instrumental: false\nlines:\n- text: Wasikuambie kwamba mimi eti sina lolote\n  start_ms: 1330\n  end_ms: 11980\n- text: Labda wakuambie sina ujanja juu yako\n  start_ms: 11980\n  end_ms: 16730\n- text: Wasikudanganye watakupa utakacho chochote\n  start_ms: 16730\n  end_ms: 23600\n- text: Wataitoa wapi furaha yako\n  start_ms: 23600\n  end_ms: 25120\n- text: Maana wabaya hawatoki mbali\n  start_ms: 25120\n  end_ms: 29530\n- text: Jirani yako we ndio anapenda usile\n  start_ms: 29530\n  end_ms: 32980\n- text: Hawatokubali kuona bendera ya penzi lako inapepea\n  start_ms: 32980\n  end_ms: 37280\n- text: Hawatokujali kipindi ambacho mawazo\n  start_ms: 37280\n  end_ms: 40050\n- text: Yanafanya usile watakutupia mbali\n  start_ms: 40050\n  end_ms: 42690\n- text: Si ulisema unataka gari na nimekubali kuenyeka mie\n  start_ms: 42690\n  end_ms: 48430\n- text: Tule mbegu na ugali kesho tutapata kipenzi nivumilie\n  start_ms: 48430\n  end_ms: 54170\n- text: Ukinitema itakuwa ni hatari utanipa na ajali kitanzi\n  start_ms: 54170\n  end_ms: 57760\n- text: Kuninginia si tumetoka mbali\n  start_ms: 57760\n  end_ms: 61850\n- text: Mazoea na ushakuwa maua\n  start_ms: 61850\n  end_ms: 64430\n- text: Moyo moyo wangu mimi\n  start_ms: 64430\n  end_ms: 67350\n- text: Unauendesha moyo moyo\n  start_ms: 67350\n  end_ms: 71040\n- text: Funga macho na masikio Ziba moyo moyo\n  start_ms: 71040\n  end_ms: 74300\n- text: Usiwasikie usiwaone pia moyo moyo\n  start_ms: 74300\n  end_ms: 80560\n- text: Umegota kwako moyo wangu moyo moyo\n  start_ms: 80560\n  end_ms: 83770\n- text: Auuu uuh moyo moyo Usiwaone pia\n  start_ms: 83770\n  end_ms: 90310\n- text: Kukosa majaribu moyo usije\n  start_ms: 90310\n  end_ms: 99780\n- text: Tia donda ukauchubua maumivu yani adhibu\n  start_ms: 99780\n  end_ms: 101150\n- text: Kisa upendo furaha kuichua\n  start_ms: 101150\n  end_ms: 102610\n- text: Kwenye kosa niadhibu nami mwanadamu\n  start_ms: 102610\n  end_ms: 104630\n- text: Siku ntakosea kukuacha\n  start_ms: 104630\n  end_ms: 106610\n- text: Sijaribu wapi niende nami kwako nishajifia\n  start_ms: 106610\n  end_ms: 111170\n- text: Ila usifanye kama fimbo\n  start_ms: 111170\n  end_ms: 113890\n- text: Ufanane na tindo ukashindwa kujali maumivu yangu\n  start_ms: 113890\n  end_ms: 119490\n- text: Si ulisema unataka gari na nimekubali kuenyeka mie\n  start_ms: 119490\n  end_ms: 121990\n- text: Tule mbegu na ugali kesho tutapata kipenzi nivumilie\n  start_ms: 121990\n  end_ms: 128720\n- text: Ukinitema itakuwa ni hatari utanipa na ajali kitanzi\n  start_ms: 128720\n  end_ms: 135230\n- text: Kuninginia si tumetoka mbali\n  start_ms: 135230\n  end_ms: 139180\n- text: Mazoea na ushakuwa maua\n  start_ms: 139180\n  end_ms: 140450\n- text: Moyo moyo wangu mimi\n  start_ms: 140450\n  end_ms: 144040\n- text: Unauendesha moyo moyo\n  start_ms: 144040\n  end_ms: 145100\n- text: Funga macho na masikio Ziba moyo moyo\n  start_ms: 145100\n  end_ms: 149690\n- text: Usiwasikie usiwaone pia moyo moyo\n  start_ms: 149690\n  end_ms: 154820\n- text: Umegota kwako moyo wangu moyo moyo\n  start_ms: 154820\n  end_ms: 158080\n- text: Auuu uuh moyo moyo Usiwaone pia\n  start_ms: 158080\n  end_ms: 163450\n- text: Ouuhh moyo moyoo huu moyo\n  start_ms: 163450\n  end_ms: 166020\n- text: Moooooyo heyyyy huu moyooo oh moyooo wangu\n  start_ms: 166020\n  end_ms: 187910\n- text: Mimi ah moyo moyo funga macho moyo moyo uuh baby\n  start_ms: 187910\n  end_ms: 197820\n- text: ''\n  start_ms: 197820\nplain: |-\n  Wasikuambie kwamba mimi eti sina lolote\n  Labda wakuambie sina ujanja juu yako\n  Wasikudanganye watakupa utakacho chochote\n  Wataitoa wapi furaha yako\n  Maana wabaya hawatoki mbali\n  Jirani yako we ndio anapenda usile\n  Hawatokubali kuona bendera ya penzi lako inapepea\n  Hawatokujali kipindi ambacho mawazo\n  Yanafanya usile watakutupia mbali\n\n  Si ulisema unataka gari na nimekubali kuenyeka mie\n  Tule mbegu na ugali kesho tutapata kipenzi nivumilie\n  Ukinitema itakuwa ni hatari utanipa na ajali kitanzi\n  Kuninginia si tumetoka mbali\n  Mazoea na ushakuwa maua\n\n  Moyo moyo wangu mimi\n  Unauendesha moyo moyo\n  Funga macho na masikio Ziba moyo moyo\n  Usiwasikie usiwaone pia moyo moyo\n  Umegota kwako moyo wangu moyo moyo\n  Auuu uuh moyo moyo Usiwaone pia\n\n  Kukosa majaribu moyo usije\n  Tia donda ukauchubua maumivu yani adhibu\n  Kisa upendo furaha kuichua\n  Kwenye kosa niadhibu nami mwanadamu\n  Siku ntakosea kukuacha\n  Sijaribu wapi niende nami kwako nishajifia\n  Ila usifanye kama fimbo\n  Ufanane na tindo ukashindwa kujali maumivu yangu\n\n  Si ulisema unataka gari na nimekubali kuenyeka mie\n  Tule mbegu na ugali kesho tutapata kipenzi nivumilie\n  Ukinitema itakuwa ni hatari utanipa na ajali kitanzi\n  Kuninginia si tumetoka mbali\n  Mazoea na ushakuwa maua\n\n  Moyo moyo wangu mimi\n  Unauendesha moyo moyo\n  Funga macho na masikio Ziba moyo moyo\n  Usiwasikie usiwaone pia moyo moyo\n  Umegota kwako moyo wangu moyo moyo\n  Auuu uuh moyo moyo Usiwaone pia\n\n  Ouuhh moyo moyoo huu moyo\n  Moooooyo heyyyy huu moyooo oh moyooo wangu\n  Mimi ah moyo moyo funga macho moyo moyo uuh baby\n"}]