[{"id":4211605,"name":"Raha","trackName":"Raha","artistName":"Marioo","albumName":"Raha","duration":207.0,"instrumental":false,"hasWordSync":false,"plainLyrics":"Blacq\n\nAh unaringa umepima ah utajijuu\nHuu mwaka utachina si ulileta unyang'au\nHukaukwi kunitishia unaondoka unaondoka\nKama daladala za kariakoo inatoka inatoka\nHadharani unanisusia kuropoka ropoka\nKama domo lako shimo la choo yanakutoka\nNa kwa taarifa yako siwezi kuanguka maana nishapata pakuegemea\nMh napendwa na sio kwa ninavojidekea\nHulka yako ya pupa mwenzako\nAnaninyenyekea\nOoh kutendwa nakusikia kwenye bomba\nNa tena na enjoy mpa ka raha mmh mpaka\nNatakatishwa mp aka raha mmh mpaka\nAnanipaga kutwa mara tatu mpa ka raha mmh mpaka\nNaogeshwa nakandwa mpa ka raha mmh mpaka\nNa tena na enjoy\n\nNapenda akinipa akinipa migandisho\nNa kama penzi lake bahari kwa muda naelea\nMaana nishazamaga nishakufa mzoga\nNa kama penzi melody kali mi kwake ndio burudani\nWala sidhani ka'ataridhika kunikosa\nNa kwa taarifa yako siwezi kuanguka maana nishapata kwa kuegemea\nMh napendwa na sio kwa ninavojidekea\nHulka yako ya pupa mwenzako ananinyenyekea\nOoh kutendwa nakusikia kwenye bomba\nNa tena na enjoy mpa ka raha mmh mpaka\nNatakatishwa mpa ka raha mmh mpaka\nAnanipaga kutwa mara tatu mpa ka raha mmh mpaka\nNaogeshwa nakandwa mpa ka raha mmh mpaka\nNa tena na enjoy","syncedLyrics":"[00:41.06] Blacq\n[00:45.84] Ah unaringa umepima ah utajijuu\n[00:51.57] Huu mwaka utachina si ulileta unyang'au\n[00:56.03] Hukaukwi kunitishia unaondoka unaondoka\n[00:59.56] Kama daladala za kariakoo inatoka inatoka\n[01:06.15] Hadharani unanisusia kuropoka ropoka\n[01:09.88] Kama domo lako shimo la choo yanakutoka\n[01:11.98] Na kwa taarifa yako siwezi kuanguka maana nishapata pakuegemea\n[01:22.86] Mh napendwa na sio kwa ninavojidekea\n[01:24.67] Hulka yako ya pupa mwenzako\n[01:27.57] Ananinyenyekea\n[01:32.33] Ooh kutendwa nakusikia kwenye bomba\n[01:36.51] Na tena na enjoy mpa ka raha mmh mpaka\n[01:41.95] Natakatishwa mp aka raha mmh mpaka\n[01:46.44] Ananipaga kutwa mara tatu mpa ka raha mmh mpaka\n[01:49.19] Naogeshwa nakandwa mpa ka raha mmh mpaka\n[02:03.26] Na tena na enjoy\n[02:08.09] Napenda akinipa akinipa migandisho\n[02:18.73] Na kama penzi lake bahari kwa muda naelea\n[02:23.58] Maana nishazamaga nishakufa mzoga\n[02:28.63] Na kama penzi melody kali mi kwake ndio burudani\n[02:31.59] Wala sidhani ka'ataridhika kunikosa\n[02:35.36] Na kwa taarifa yako siwezi kuanguka maana nishapata kwa kuegemea\n[02:42.94] Mh napendwa na sio kwa ninavojidekea\n[02:48.58] Hulka yako ya pupa mwenzako ananinyenyekea\n[02:51.28] Ooh kutendwa nakusikia kwenye bomba\n[02:52.65] Na tena na enjoy mpa ka raha mmh mpaka\n[03:02.26] Natakatishwa mpa ka raha mmh mpaka\n[03:07.07] Ananipaga kutwa mara tatu mpa ka raha mmh mpaka\n[03:09.46] Naogeshwa nakandwa mpa ka raha mmh mpaka\n[03:16.16] Na tena na enjoy\n[03:18.73] ","lyricsfile":"version: '1.0'\nmetadata:\n  title: Raha\n  artist: Marioo\n  album: Raha\n  duration_ms: 207000\n  instrumental: false\nlines:\n- text: Blacq\n  start_ms: 41060\n  end_ms: 45840\n- text: Ah unaringa umepima ah utajijuu\n  start_ms: 45840\n  end_ms: 51570\n- text: Huu mwaka utachina si ulileta unyang'au\n  start_ms: 51570\n  end_ms: 56030\n- text: Hukaukwi kunitishia unaondoka unaondoka\n  start_ms: 56030\n  end_ms: 59560\n- text: Kama daladala za kariakoo inatoka inatoka\n  start_ms: 59560\n  end_ms: 66150\n- text: Hadharani unanisusia kuropoka ropoka\n  start_ms: 66150\n  end_ms: 69880\n- text: Kama domo lako shimo la choo yanakutoka\n  start_ms: 69880\n  end_ms: 71980\n- text: Na kwa taarifa yako siwezi kuanguka maana nishapata pakuegemea\n  start_ms: 71980\n  end_ms: 82860\n- text: Mh napendwa na sio kwa ninavojidekea\n  start_ms: 82860\n  end_ms: 84670\n- text: Hulka yako ya pupa mwenzako\n  start_ms: 84670\n  end_ms: 87570\n- text: Ananinyenyekea\n  start_ms: 87570\n  end_ms: 92330\n- text: Ooh kutendwa nakusikia kwenye bomba\n  start_ms: 92330\n  end_ms: 96510\n- text: Na tena na enjoy mpa ka raha mmh mpaka\n  start_ms: 96510\n  end_ms: 101950\n- text: Natakatishwa mp aka raha mmh mpaka\n  start_ms: 101950\n  end_ms: 106440\n- text: Ananipaga kutwa mara tatu mpa ka raha mmh mpaka\n  start_ms: 106440\n  end_ms: 109190\n- text: Naogeshwa nakandwa mpa ka raha mmh mpaka\n  start_ms: 109190\n  end_ms: 123260\n- text: Na tena na enjoy\n  start_ms: 123260\n  end_ms: 128090\n- text: Napenda akinipa akinipa migandisho\n  start_ms: 128090\n  end_ms: 138730\n- text: Na kama penzi lake bahari kwa muda naelea\n  start_ms: 138730\n  end_ms: 143580\n- text: Maana nishazamaga nishakufa mzoga\n  start_ms: 143580\n  end_ms: 148630\n- text: Na kama penzi melody kali mi kwake ndio burudani\n  start_ms: 148630\n  end_ms: 151590\n- text: Wala sidhani ka'ataridhika kunikosa\n  start_ms: 151590\n  end_ms: 155360\n- text: Na kwa taarifa yako siwezi kuanguka maana nishapata kwa kuegemea\n  start_ms: 155360\n  end_ms: 162940\n- text: Mh napendwa na sio kwa ninavojidekea\n  start_ms: 162940\n  end_ms: 168580\n- text: Hulka yako ya pupa mwenzako ananinyenyekea\n  start_ms: 168580\n  end_ms: 171280\n- text: Ooh kutendwa nakusikia kwenye bomba\n  start_ms: 171280\n  end_ms: 172650\n- text: Na tena na enjoy mpa ka raha mmh mpaka\n  start_ms: 172650\n  end_ms: 182260\n- text: Natakatishwa mpa ka raha mmh mpaka\n  start_ms: 182260\n  end_ms: 187070\n- text: Ananipaga kutwa mara tatu mpa ka raha mmh mpaka\n  start_ms: 187070\n  end_ms: 189460\n- text: Naogeshwa nakandwa mpa ka raha mmh mpaka\n  start_ms: 189460\n  end_ms: 196160\n- text: Na tena na enjoy\n  start_ms: 196160\n  end_ms: 198730\n- text: ''\n  start_ms: 198730\nplain: |-\n  Blacq\n\n  Ah unaringa umepima ah utajijuu\n  Huu mwaka utachina si ulileta unyang'au\n  Hukaukwi kunitishia unaondoka unaondoka\n  Kama daladala za kariakoo inatoka inatoka\n  Hadharani unanisusia kuropoka ropoka\n  Kama domo lako shimo la choo yanakutoka\n  Na kwa taarifa yako siwezi kuanguka maana nishapata pakuegemea\n  Mh napendwa na sio kwa ninavojidekea\n  Hulka yako ya pupa mwenzako\n  Ananinyenyekea\n  Ooh kutendwa nakusikia kwenye bomba\n  Na tena na enjoy mpa ka raha mmh mpaka\n  Natakatishwa mp aka raha mmh mpaka\n  Ananipaga kutwa mara tatu mpa ka raha mmh mpaka\n  Naogeshwa nakandwa mpa ka raha mmh mpaka\n  Na tena na enjoy\n\n  Napenda akinipa akinipa migandisho\n  Na kama penzi lake bahari kwa muda naelea\n  Maana nishazamaga nishakufa mzoga\n  Na kama penzi melody kali mi kwake ndio burudani\n  Wala sidhani ka'ataridhika kunikosa\n  Na kwa taarifa yako siwezi kuanguka maana nishapata kwa kuegemea\n  Mh napendwa na sio kwa ninavojidekea\n  Hulka yako ya pupa mwenzako ananinyenyekea\n  Ooh kutendwa nakusikia kwenye bomba\n  Na tena na enjoy mpa ka raha mmh mpaka\n  Natakatishwa mpa ka raha mmh mpaka\n  Ananipaga kutwa mara tatu mpa ka raha mmh mpaka\n  Naogeshwa nakandwa mpa ka raha mmh mpaka\n  Na tena na enjoy\n"}]