[{"id":30407478,"name":"Pini","trackName":"Pini","artistName":"Marioo","albumName":"The Godson","duration":233.0,"instrumental":false,"hasWordSync":false,"plainLyrics":"Kutoka alooh\n(It's Kaniba)\n\nSiri sio siri tena nimefanikiwa\nKutoboa moyo wake na pini to, to, ooh, to\nMoyo wake na pini to, to, ooh, to\n\nMbio za sakafuni hazijawahi kufika hata kwenye mataa\nInawezekanaje uniache halafu nikuombee mema\nKila unachokiona ndio kuwa uyaone sio hayo mataa\nInawezekanaje uniache halafu nikuombee mema\n\nOh, ubaya ubwela mi' shabiki wa Simba\nUkichapa la kushoto nachapa la kulia simuachii Mungu\nUsilete usela kwa msela mi' sijawahi kushindwa\nUlinifanya vibaya ndio maana dua zangu zilifika kwa Mungu\n\nNacheka meno thelathini na mbili yote nje (ha-ha-haa)\nNajifungiaga chumbani nazomea (ooh-oh)\nNacheka meno thelathini na mbili yote nje (ha-ha-haa)\nNapata habari ex wangu anaumia, ah\n\nSiri sio siri tena nimefanikiwa\nKutoboa moyo wake na pini to, to, ooh, to\nMoyo wake na pini to, to, ooh, to\n\nAy, mama, we\nMmh, whoa, ooh-ooh\nNaona furaha\nMimi nilinung'unika\nNilitokwa machozi yasiyofutika\nNilisurubika nikapata stress za kutaka kufa\nSi ulinidharau, hu-hu\nUlivyopata wadau, uh\nWalivyopanda dau\nUkanitupa ukaniona nyang'au, uh\nSa'hivi mejipata umechacha umechunda unikomeee, eh\nSi ulikua kama Google unajua kila kitu, ushajua haujui\nMwenzako nishajipata napewa mapasi ya Pacome, eh\nSi ulikua kama Google unajua kila kitu, ushajua haujui\n\nHenhe\nNacheka meno thelathini na mbili yote nje (ha-ha-haa)\nNajifungiaga chumbani nazomea (ooh-oh)\nNacheka meno thelathini na mbili yote nje (ha-ha-haa)\nNimepata habari ex wangu anaumia, lo-lo-lo-lo-lo\n\nSiri sio siri tena nimefanikiwa\nKutoboa moyo wake na pini to, to, ooh, to\nMoyo wake na pini to, to, ooh, to\n\nAy, mama, we\nNaona furaha\nNasikia raha, to, ooh, to\nAy, we totolilo, to\nMoyo wa\nOh, moyo wake na pini\nShauri yake\nKutokaa","syncedLyrics":"[00:08.03] Kutoka alooh\n[00:12.37] (It's Kaniba)\n[00:15.32] Siri sio siri tena nimefanikiwa\n[00:19.66] Kutoboa moyo wake na pini to, to, ooh, to\n[00:25.35] Moyo wake na pini to, to, ooh, to\n[00:30.69] Mbio za sakafuni hazijawahi kufika hata kwenye mataa\n[00:36.27] Inawezekanaje uniache halafu nikuombee mema\n[00:40.86] Kila unachokiona ndio kuwa uyaone sio hayo mataa\n[00:46.17] Inawezekanaje uniache halafu nikuombee mema\n[00:49.86] Oh, ubaya ubwela mi' shabiki wa Simba\n[00:55.82] Ukichapa la kushoto nachapa la kulia simuachii Mungu\n[01:03.11] Usilete usela kwa msela mi' sijawahi kushindwa\n[01:05.46] Ulinifanya vibaya ndio maana dua zangu zilifika kwa Mungu\n[01:10.54] Nacheka meno thelathini na mbili yote nje (ha-ha-haa)\n[01:15.19] Najifungiaga chumbani nazomea (ooh-oh)\n[01:20.25] Nacheka meno thelathini na mbili yote nje (ha-ha-haa)\n[01:25.30] Napata habari ex wangu anaumia, ah\n[01:29.22] Siri sio siri tena nimefanikiwa\n[01:33.99] Kutoboa moyo wake na pini to, to, ooh, to\n[01:39.94] Moyo wake na pini to, to, ooh, to\n[01:52.39] Ay, mama, we\n[01:54.35] Mmh, whoa, ooh-ooh\n[01:59.73] Naona furaha\n[02:02.38] Mimi nilinung'unika\n[02:07.08] Nilitokwa machozi yasiyofutika\n[02:09.35] Nilisurubika nikapata stress za kutaka kufa\n[02:15.17] Si ulinidharau, hu-hu\n[02:17.47] Ulivyopata wadau, uh\n[02:19.75] Walivyopanda dau\n[02:22.16] Ukanitupa ukaniona nyang'au, uh\n[02:24.72] Sa'hivi mejipata umechacha umechunda unikomeee, eh\n[02:28.50] Si ulikua kama Google unajua kila kitu, ushajua haujui\n[02:34.53] Mwenzako nishajipata napewa mapasi ya Pacome, eh\n[02:39.85] Si ulikua kama Google unajua kila kitu, ushajua haujui\n[02:43.45] Henhe\n[02:43.68] Nacheka meno thelathini na mbili yote nje (ha-ha-haa)\n[02:49.13] Najifungiaga chumbani nazomea (ooh-oh)\n[02:54.12] Nacheka meno thelathini na mbili yote nje (ha-ha-haa)\n[02:59.15] Nimepata habari ex wangu anaumia, lo-lo-lo-lo-lo\n[03:02.80] Siri sio siri tena nimefanikiwa\n[03:07.18] Kutoboa moyo wake na pini to, to, ooh, to\n[03:13.88] Moyo wake na pini to, to, ooh, to\n[03:19.22] Ay, mama, we\n[03:21.83] Naona furaha\n[03:24.23] Nasikia raha, to, ooh, to\n[03:28.82] Ay, we totolilo, to\n[03:34.10] Moyo wa\n[03:34.91] Oh, moyo wake na pini\n[03:38.64] Shauri yake\n[03:41.37] Kutokaa\n[03:46.05] ","lyricsfile":"version: '1.0'\nmetadata:\n  title: Pini\n  artist: Marioo\n  album: The Godson\n  duration_ms: 233000\n  instrumental: false\nlines:\n- text: Kutoka alooh\n  start_ms: 8030\n  end_ms: 12370\n- text: (It's Kaniba)\n  start_ms: 12370\n  end_ms: 15320\n- text: Siri sio siri tena nimefanikiwa\n  start_ms: 15320\n  end_ms: 19660\n- text: Kutoboa moyo wake na pini to, to, ooh, to\n  start_ms: 19660\n  end_ms: 25350\n- text: Moyo wake na pini to, to, ooh, to\n  start_ms: 25350\n  end_ms: 30690\n- text: Mbio za sakafuni hazijawahi kufika hata kwenye mataa\n  start_ms: 30690\n  end_ms: 36270\n- text: Inawezekanaje uniache halafu nikuombee mema\n  start_ms: 36270\n  end_ms: 40860\n- text: Kila unachokiona ndio kuwa uyaone sio hayo mataa\n  start_ms: 40860\n  end_ms: 46170\n- text: Inawezekanaje uniache halafu nikuombee mema\n  start_ms: 46170\n  end_ms: 49860\n- text: Oh, ubaya ubwela mi' shabiki wa Simba\n  start_ms: 49860\n  end_ms: 55820\n- text: Ukichapa la kushoto nachapa la kulia simuachii Mungu\n  start_ms: 55820\n  end_ms: 63110\n- text: Usilete usela kwa msela mi' sijawahi kushindwa\n  start_ms: 63110\n  end_ms: 65460\n- text: Ulinifanya vibaya ndio maana dua zangu zilifika kwa Mungu\n  start_ms: 65460\n  end_ms: 70540\n- text: Nacheka meno thelathini na mbili yote nje (ha-ha-haa)\n  start_ms: 70540\n  end_ms: 75190\n- text: Najifungiaga chumbani nazomea (ooh-oh)\n  start_ms: 75190\n  end_ms: 80250\n- text: Nacheka meno thelathini na mbili yote nje (ha-ha-haa)\n  start_ms: 80250\n  end_ms: 85300\n- text: Napata habari ex wangu anaumia, ah\n  start_ms: 85300\n  end_ms: 89220\n- text: Siri sio siri tena nimefanikiwa\n  start_ms: 89220\n  end_ms: 93990\n- text: Kutoboa moyo wake na pini to, to, ooh, to\n  start_ms: 93990\n  end_ms: 99940\n- text: Moyo wake na pini to, to, ooh, to\n  start_ms: 99940\n  end_ms: 112390\n- text: Ay, mama, we\n  start_ms: 112390\n  end_ms: 114350\n- text: Mmh, whoa, ooh-ooh\n  start_ms: 114350\n  end_ms: 119730\n- text: Naona furaha\n  start_ms: 119730\n  end_ms: 122380\n- text: Mimi nilinung'unika\n  start_ms: 122380\n  end_ms: 127080\n- text: Nilitokwa machozi yasiyofutika\n  start_ms: 127080\n  end_ms: 129350\n- text: Nilisurubika nikapata stress za kutaka kufa\n  start_ms: 129350\n  end_ms: 135170\n- text: Si ulinidharau, hu-hu\n  start_ms: 135170\n  end_ms: 137470\n- text: Ulivyopata wadau, uh\n  start_ms: 137470\n  end_ms: 139750\n- text: Walivyopanda dau\n  start_ms: 139750\n  end_ms: 142160\n- text: Ukanitupa ukaniona nyang'au, uh\n  start_ms: 142160\n  end_ms: 144720\n- text: Sa'hivi mejipata umechacha umechunda unikomeee, eh\n  start_ms: 144720\n  end_ms: 148500\n- text: Si ulikua kama Google unajua kila kitu, ushajua haujui\n  start_ms: 148500\n  end_ms: 154530\n- text: Mwenzako nishajipata napewa mapasi ya Pacome, eh\n  start_ms: 154530\n  end_ms: 159850\n- text: Si ulikua kama Google unajua kila kitu, ushajua haujui\n  start_ms: 159850\n  end_ms: 163450\n- text: Henhe\n  start_ms: 163450\n  end_ms: 163680\n- text: Nacheka meno thelathini na mbili yote nje (ha-ha-haa)\n  start_ms: 163680\n  end_ms: 169130\n- text: Najifungiaga chumbani nazomea (ooh-oh)\n  start_ms: 169130\n  end_ms: 174120\n- text: Nacheka meno thelathini na mbili yote nje (ha-ha-haa)\n  start_ms: 174120\n  end_ms: 179150\n- text: Nimepata habari ex wangu anaumia, lo-lo-lo-lo-lo\n  start_ms: 179150\n  end_ms: 182800\n- text: Siri sio siri tena nimefanikiwa\n  start_ms: 182800\n  end_ms: 187180\n- text: Kutoboa moyo wake na pini to, to, ooh, to\n  start_ms: 187180\n  end_ms: 193880\n- text: Moyo wake na pini to, to, ooh, to\n  start_ms: 193880\n  end_ms: 199220\n- text: Ay, mama, we\n  start_ms: 199220\n  end_ms: 201830\n- text: Naona furaha\n  start_ms: 201830\n  end_ms: 204230\n- text: Nasikia raha, to, ooh, to\n  start_ms: 204230\n  end_ms: 208820\n- text: Ay, we totolilo, to\n  start_ms: 208820\n  end_ms: 214100\n- text: Moyo wa\n  start_ms: 214100\n  end_ms: 214910\n- text: Oh, moyo wake na pini\n  start_ms: 214910\n  end_ms: 218640\n- text: Shauri yake\n  start_ms: 218640\n  end_ms: 221370\n- text: Kutokaa\n  start_ms: 221370\n  end_ms: 226050\n- text: ''\n  start_ms: 226050\nplain: |-\n  Kutoka alooh\n  (It's Kaniba)\n\n  Siri sio siri tena nimefanikiwa\n  Kutoboa moyo wake na pini to, to, ooh, to\n  Moyo wake na pini to, to, ooh, to\n\n  Mbio za sakafuni hazijawahi kufika hata kwenye mataa\n  Inawezekanaje uniache halafu nikuombee mema\n  Kila unachokiona ndio kuwa uyaone sio hayo mataa\n  Inawezekanaje uniache halafu nikuombee mema\n\n  Oh, ubaya ubwela mi' shabiki wa Simba\n  Ukichapa la kushoto nachapa la kulia simuachii Mungu\n  Usilete usela kwa msela mi' sijawahi kushindwa\n  Ulinifanya vibaya ndio maana dua zangu zilifika kwa Mungu\n\n  Nacheka meno thelathini na mbili yote nje (ha-ha-haa)\n  Najifungiaga chumbani nazomea (ooh-oh)\n  Nacheka meno thelathini na mbili yote nje (ha-ha-haa)\n  Napata habari ex wangu anaumia, ah\n\n  Siri sio siri tena nimefanikiwa\n  Kutoboa moyo wake na pini to, to, ooh, to\n  Moyo wake na pini to, to, ooh, to\n\n  Ay, mama, we\n  Mmh, whoa, ooh-ooh\n  Naona furaha\n  Mimi nilinung'unika\n  Nilitokwa machozi yasiyofutika\n  Nilisurubika nikapata stress za kutaka kufa\n  Si ulinidharau, hu-hu\n  Ulivyopata wadau, uh\n  Walivyopanda dau\n  Ukanitupa ukaniona nyang'au, uh\n  Sa'hivi mejipata umechacha umechunda unikomeee, eh\n  Si ulikua kama Google unajua kila kitu, ushajua haujui\n  Mwenzako nishajipata napewa mapasi ya Pacome, eh\n  Si ulikua kama Google unajua kila kitu, ushajua haujui\n\n  Henhe\n  Nacheka meno thelathini na mbili yote nje (ha-ha-haa)\n  Najifungiaga chumbani nazomea (ooh-oh)\n  Nacheka meno thelathini na mbili yote nje (ha-ha-haa)\n  Nimepata habari ex wangu anaumia, lo-lo-lo-lo-lo\n\n  Siri sio siri tena nimefanikiwa\n  Kutoboa moyo wake na pini to, to, ooh, to\n  Moyo wake na pini to, to, ooh, to\n\n  Ay, mama, we\n  Naona furaha\n  Nasikia raha, to, ooh, to\n  Ay, we totolilo, to\n  Moyo wa\n  Oh, moyo wake na pini\n  Shauri yake\n  Kutokaa\n"}]