[{"id":14128435,"name":"Nikazama","trackName":"Nikazama","artistName":"Marioo","albumName":"The Kid You Know (Deluxe Edition)","duration":213.0,"instrumental":false,"hasWordSync":false,"plainLyrics":"Sina baya na wewe wala sijakukunjia\nIla sometimes hasira si unajua wanadamu\nSina noma na wewe wala sijakununia\nIla nakublock kwasababu nikikuona nakosa hamu\nYa kula hata kulala\nMwenzako kazi nashindwa hata kufanya\nUmeniroga wapi wewe aaah\nNashindwa kula wala kulala\nMwenzako kazi siwezi hata kufanya\nUmeniroga wapi wewe aaah\n\nHapana hujaniroga hujaniroga\nLabda penzi tu lilinoga\nNikakupenda kiukweli ukweli\nIkaingia aah\n\nNikazama\nNikazama\nNikazama\nNikazama\n\nLikitajwa jina lako ooh moyo wanidunda\nYanijia sura yako ooh bado\nSiwazi kurudiana sitaki turudiane\nIla sipendi kubakia na dukuduku rohoni\nTulipendana kwa shida\nTukaachana kifala sawa ah\nJapo nililia hadi ndugu\nWakasema umeniroga\n\nHapana hujaniroga hujaniroga\nLabda penzi tu lilinoga\nNikakupenda kiukweli ukweli\nIkaingia aah\n\nNikazama\nNikazama\nNikazama\nNikazama","syncedLyrics":null,"lyricsfile":"version: '1.0'\nmetadata:\n  title: Nikazama\n  artist: Marioo\n  album: The Kid You Know (Deluxe Edition)\n  duration_ms: 213000\n  instrumental: false\nlines: []\nplain: |-\n  Sina baya na wewe wala sijakukunjia\n  Ila sometimes hasira si unajua wanadamu\n  Sina noma na wewe wala sijakununia\n  Ila nakublock kwasababu nikikuona nakosa hamu\n  Ya kula hata kulala\n  Mwenzako kazi nashindwa hata kufanya\n  Umeniroga wapi wewe aaah\n  Nashindwa kula wala kulala\n  Mwenzako kazi siwezi hata kufanya\n  Umeniroga wapi wewe aaah\n\n  Hapana hujaniroga hujaniroga\n  Labda penzi tu lilinoga\n  Nikakupenda kiukweli ukweli\n  Ikaingia aah\n\n  Nikazama\n  Nikazama\n  Nikazama\n  Nikazama\n\n  Likitajwa jina lako ooh moyo wanidunda\n  Yanijia sura yako ooh bado\n  Siwazi kurudiana sitaki turudiane\n  Ila sipendi kubakia na dukuduku rohoni\n  Tulipendana kwa shida\n  Tukaachana kifala sawa ah\n  Japo nililia hadi ndugu\n  Wakasema umeniroga\n\n  Hapana hujaniroga hujaniroga\n  Labda penzi tu lilinoga\n  Nikakupenda kiukweli ukweli\n  Ikaingia aah\n\n  Nikazama\n  Nikazama\n  Nikazama\n  Nikazama\n"},{"id":37791329,"name":"Nikazama","trackName":"Nikazama","artistName":"Marioo","albumName":"The Kid You Know","duration":213.0,"instrumental":false,"hasWordSync":false,"plainLyrics":"Sina baya na wewe wala sijakukunjia\nIla sometimes hasira si unajua wanadamu\nSina noma na wewe wala sijakununia\nIla nakublock kwasababu nikikuona nakosa hamu\nYa kula hata kulala\nMwenzako kazi nashindwa hata kufanya\nUmeniroga wapi wewe aaah\nNashindwa kula wala kulala\nMwenzako kazi siwezi hata kufanya\nUmeniroga wapi wewe aaah\n\nHapana hujaniroga hujaniroga\nLabda penzi tu lilinoga\nNikakupenda kiukweli ukweli\nIkaingia aah\n\nNikazama\nNikazama\nNikazama\nNikazama\n\nLikitajwa jina lako ooh moyo wanidunda\nYanijia sura yako ooh bado\nSiwazi kurudiana sitaki turudiane\nIla sipendi kubakia na dukuduku rohoni\nTulipendana kwa shida\nTukaachana kifala sawa ah\nJapo nililia hadi ndugu\nWakasema umeniroga\n\nHapana hujaniroga hujaniroga\nLabda penzi tu lilinoga\nNikakupenda kiukweli ukweli\nIkaingia aah\n\nNikazama\nNikazama\nNikazama\nNikazama","syncedLyrics":null,"lyricsfile":"version: '1.0'\nmetadata:\n  title: Nikazama\n  artist: Marioo\n  album: The Kid You Know\n  duration_ms: 213000\n  instrumental: false\nlines: []\nplain: |-\n  Sina baya na wewe wala sijakukunjia\n  Ila sometimes hasira si unajua wanadamu\n  Sina noma na wewe wala sijakununia\n  Ila nakublock kwasababu nikikuona nakosa hamu\n  Ya kula hata kulala\n  Mwenzako kazi nashindwa hata kufanya\n  Umeniroga wapi wewe aaah\n  Nashindwa kula wala kulala\n  Mwenzako kazi siwezi hata kufanya\n  Umeniroga wapi wewe aaah\n\n  Hapana hujaniroga hujaniroga\n  Labda penzi tu lilinoga\n  Nikakupenda kiukweli ukweli\n  Ikaingia aah\n\n  Nikazama\n  Nikazama\n  Nikazama\n  Nikazama\n\n  Likitajwa jina lako ooh moyo wanidunda\n  Yanijia sura yako ooh bado\n  Siwazi kurudiana sitaki turudiane\n  Ila sipendi kubakia na dukuduku rohoni\n  Tulipendana kwa shida\n  Tukaachana kifala sawa ah\n  Japo nililia hadi ndugu\n  Wakasema umeniroga\n\n  Hapana hujaniroga hujaniroga\n  Labda penzi tu lilinoga\n  Nikakupenda kiukweli ukweli\n  Ikaingia aah\n\n  Nikazama\n  Nikazama\n  Nikazama\n  Nikazama\n"}]